Tyga asaini dili na x wa Drake na kumshika makalio kumuudhi

Tyga ameendelea kuwasha moto juu ya ugomvi wake na Drake kwa kumshika makalio aliekuwa girlfriend wa Drake na kumsaini kwa ajili ya kufanya nae Video ya wimbo wake mpya.
Chanzo kilichokuwepo kwe dili hilo kimesema kuwa, Tyga alimuaomba Dollicia Bryan kutokea kwenye video ya "Make it Work" hasa kwasababu wimbo huo una mashairi yanayomchana Drake 

 "Ni**a never was my homey ... all these bitches know you corny ni**a."
Drake alionekana aki-flirt na mama mtoto w Tyga Blac Chyna kwenye mitandao ya kijamii kwa mda sasa haishangazi kuona Tayga kaamua kumuomba Dollicia 

In fact,TMZ wameambiwa kuwa Tyga amemwambia wazi Dollicia anamtumia kumchukiza Drake... na akakubali kutumia nafasi hiyo.

Tyga asaini dili na x wa Drake na kumshika makalio kumuudhi Tyga asaini dili na x wa Drake na kumshika makalio kumuudhi Reviewed by habari motto on 10:48 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.