Wadada Tuweni Makini Sana na Vyumba vya Kujaribia Nguo Madukani, Huyu Alipigwa Picha Bila Kujua Akijaribu Nguo Dukani , tumepewa siri kuwa huwa kuna kamera za siri zinafichwa kwa baadhi ya Maduka yenye tabia mbaya na kuchukua picha kwa siri..So kuweni Makini Wakina Dada
Wadada Tuweni Makini Na hivi Vyumba Vya Kubadilishia Nguo Madukani... Shuhudia Yaliyowakuta Hawa
Reviewed by
habari motto
on
8:10 AM
Rating:
5