Ni kama vile Diamond Ameamua kufunguka ila kwa kutumia Mafumbo kuhusu kuachwa na Wema Sepetu Leo Amepost Ujumbee Huu Kwenye Instagram :
"Alidanganywa na wale, wa Mapesa Nyumba Gari... Mie Ungaunga Hakunijali Akanikimbiaa....."
Baadhi ya Comments za watu kutoka instagram:
Waijua Sababu Ya Diamond Kuachwa Na Wema??
Reviewed by
habari motto
on
8:35 AM
Rating:
5