Wastara: Sioni faida ya filamu, labda kwakuwa siutoi mwili wangu


Msanii wa filamu, Wastara Sajuki amesema tangu afariki mume wake Sajuki, haoni faida ya filamu anazofanya.
Wastara
Akizungumza na gazeti la Mwanaspoti hivi karibuni Wastara alisema mtu anayejiheshimu na kukwepa ngono hutengwa na kuwekewa vikwazo ili afuate masharti ya wahusika.
“Najikuta nikiwa katika wakati mgumu sana, kwani nilipokuwa na Sajuki nilifanya kazi kwa asilimia 20 tu na faida niliiona, lakini sasa nafanya kazi kubwa lakini nabanwa katika mauzo, labda kwa sababu siutoi mwili wangu, najipenda na kujiheshimu na nawapenda watoto wangu,” alisema Wastara

Wastara: Sioni faida ya filamu, labda kwakuwa siutoi mwili wangu Wastara: Sioni faida ya filamu, labda kwakuwa siutoi mwili wangu Reviewed by habari motto on 1:53 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.