Ajali Mbaya Yatokea, 3 Wafariki Hapo Hapo

Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda. 

Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo.
... Gari Likiendelea kuteketea kwa moto.GARI aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo Bunju B, Dar na gari hiyo kuchomwa moto na wananchi!
Ajali Mbaya Yatokea, 3 Wafariki Hapo Hapo Ajali Mbaya Yatokea, 3 Wafariki Hapo Hapo Reviewed by habari motto on 9:52 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.