Na Hivi Ndivyo Kesi Ya Madawa Ilivyoharibu Mipango Ya Diamond

Rapper Chidi Benz anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na madawa ya kulevya, amesema kesi hiyo imeathiri kufanyika kwa video ya wimbo wake ‘Mpaka Kuchee’ aliyowashirikisha Diamond na AY.
Chidi alikuwa akiongea na Bongo5 jana kwenye uzinduzi wa video ya Wakazi ‘Wanawake wa Dar’.
“Video inakuja, bado sijaanza kufanya mazungumzo na AY wala Diamond ambao nipo nao kwenye hiyo project,” alisema. Video itafanyika hivi soon, haya matatizo ndo yameichewesha hii project.”
Kesi yake inatarajiwa kusikilizwa tena December 1. Diamond na AY waliahidi kugharamia video hiyo.

Credit Bongo5>>
Na Hivi Ndivyo Kesi Ya Madawa Ilivyoharibu Mipango Ya Diamond Na Hivi Ndivyo Kesi Ya Madawa Ilivyoharibu Mipango Ya Diamond Reviewed by habari motto on 9:57 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.