Jerry Muro: Nipo Tayari kurudi ITV Hata Usiku wa Manane

Jamaa anasema alienda kusoma na alipirudi akakuta kibarua chake kimeota ngaro
Ila anakiri ITV ndio kituo bora cha TV Tanzania,Amesema wakimwita hata usiku wa manane yupo tayari kwenda kufanya kazi ni sehemu bora na kituo bora kabisa.
Majuto mjukuu!
Jerry Muro: Nipo Tayari kurudi ITV Hata Usiku wa Manane Jerry Muro: Nipo Tayari kurudi ITV Hata Usiku wa Manane Reviewed by habari motto on 10:07 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.