Mimi binafsi kama mwandishi wa habari hii namfahamu mlemavu huyu tangu mwaka 2009, Anaitwa Nick Vujic, ni Mkazi wa ustralia na ni mtu anayejihusisha sana na mambo ya kuhubiri nchi mpaka nchi, Mwaka juzi alioa na kila mtu hakuamini kwasababu mke aliyemuoa alikuwa mzuri sanaaa, Sasa Mungu amewabariki mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Kiyoshi.
Huyu Ndiye Mlemavu Maarufu Kuliko Wote Duniani
Reviewed by habari motto
on
9:03 AM
Rating: