MKAZI wa Kijiji cha Mayaka, Kata ya Minyughe, Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, Samaha Mtawa (6) amekufa baada kubakwa na kunyongwa wakati akichuma matunda porini.
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi, Thobias Sedoyeka, mwili wa mtoto huyo ulionekana Februari 7 mwaka huu saa 12 asubuhi umbali wa mita 150 kutoka nyumbani kwao.
"Uchunguzi wa awali umebaini marehemu alifariki baada ya kubakwa, kunyongwa na kutupwa porini na mtuhumiwa aitwaye Ramadhani Omari (28), mkazi wa Maweni," alisema.
Aliongeza kuwa, uchunguzi huo pia umebaini mbinu ambayo ilitumiwa na mtuhumiwa ni kumvizia marehemu akiwa anachuma matunda hivyo alimkamata kwa nguvu na kumfanyia unyama huo.
Kamanda Sedoyeka alisema licha ya marehemu kupiga kelele na wananchi kukimbilia eneo hilo ili kumwokoa, walipofika walikuta tayari amefariki na mtuhumiwa kakimbia lakini alikamatwa baada ya saa mbili.
"Jeshi la Polisi linamshikilia mtuhumiwa kwa upelelezi zaidi na baada ya kukamilika, atafikishwa mahakamani kujibu shtaka linalomkabili, mwili wa marehemu ulifanyiwa uchunguzi na daktari na baadaye kukabidhiwa ndugu zake," alisema.
Amewahadharisha wazazi na walezi wa watoto kutowaachia ovyo watoto wao na kucheza katika mazingira salama ili wasiweze kufanyiwa vitendo vya kikatili kama ubakaji na mauaji jambo ambalo linaleta simanzi na majonzi.
Wakati huo huo, wananchi mkoani humo wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya makundi ya kigaidi yaliyoanza kuingia nchini, kujihusisha na vitendo vinavyoleta uvunjifu wa amani kwa jamii na Taifa.
Insurance
Loans
KUTAZAMA PICHA na VIDEO
CHIN>>>>
Wito huo ulitolewa jana na Kamanda Sedoyeka baada ya kukamatwa baadhi ya watuhumiwa kwenye maeneo mbalimbali nchini wakidaiwa kujihusisha na matukio ya ugaidi ukiwemo wa ulipuaji mabomu na mauaji ya raia.CHRISTIAN BELLA:
NITAONYESHA MAAJABU DAR LIVE JUMAMOSI HII
PREZIDAA wa Bendi ya Malaika Music, Christian Bella 'King of the Best
Melodies' amewaahidi shoo kali mashabiki wake watakaohudhuria katika
Ukumbi wa Kisasa wa Dar Live, Jumamosi ijayo ambayo ni Siku ya
Wapendanao 'Valentine's Day'.
Staa huyo ameyasema hayo hivi punde wakati wa mkutano na wanahabari wa
vyombo mbalimbali uliofanyika katika ofisi za Global Publishers.
Bella amesema atakuwepo ndani ya kiwanja hicho mapema kuanzia saa 7
mchana na atapiga picha za red carpet na mashabiki wake watakaohudhuria
sambamba na kuzungumza nao mawili-matatu.
Mbali na kuwahi ukumbini, Bella amewaandalia nyimbo zake zote kali za
mapenzi kama vile Msaliti, Safari Siyo Kifo, Nakuhitaji pamoja na wimbo
bora uliofunga mwaka wa Nani Kama Mama.
Kuonyesha kuwa utakuwa Usiku wa Wapendanao, Bella amewaandalia mashabiki
wake zawadi ya wimbo mpya uitwao NASHINDWA ambao atauchia kwa mara ya
kwanza huku video akienda kuifanyia nchini Afrika Kusini wiki ijayo.
Mbali na Bella usiku huo ambao ni maalum kwa wapendanao, mkali wa muziki
wa Mwambao, Mfalme Mzee Yusuf naye atakuwepo katika kuwaburudisha
mashabiki wote watakaokuwepo ukumbini hapo.
Usiku huo Mzee Yusuf atashuka na kundi lake la Jahazi Modern Taarab na
kuangusha ngoma zake zote kali za mapenzi kama vile My Valentine,
Wapendanao, Tiba ya Mapenzi, Wasiwasi Wako pamoja na hii ambayo ni
habari ya mjini kwa sasa ya Mahaba Niue
Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo
pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa
Dar LiveBella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).
Christian Bella (kulia) akiwapa vionjo vya wimbo wake mpya wa
'NASHINDWA' wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni mmoja wa viongozi wa
Malaika Band, X-Bass Babu Bomba.
Bella akiwa na Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist
X-Bass Babu Bomba na Bella katika pozi na Mpiga Picha wa GPL, Musa
Mateja.
X-Bass Babu Bomba na Bella wakiwa katika picha ya pamoja na Mhariri
Mwandamizi wa GPL, Walusanga Ndaki.
X-Bass Babu Bomba na Bella wakipozi na Shafii Mohamed wa GPL.
X-Bass Babu Bomba na Christian Bella katika pozi ndani ya GPL.
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwinCHRISTIAN BELLA:

Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Copy and WIN : http://bit.ly/copynwin
Mtoto(6) Abakwa Kisha, Kuuwawa Porini Akichuma Matunda
Reviewed by habari motto
on
3:15 PM
Rating: