Usimshangae Lulu ni mambo ya fedha

HUWA unashangazwa na mwigizaji, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anavyopendeza kwa mavazi maridadi? Wala usishangae sana kwani hayo ni mambo ya fedha ndugu yangu.
Mwigizaji huyo hutumia kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya mavazi na ndiyo maana Lulu hajawahi kutokea mbele ya kadamnasi bila ya kuwa katika mavazi ya kuvutia.
Hata mwenyewe hafichi hilo, kwani hivi karibuni alisema huwa anavutiwa na mavazi yaliyo katika chati, bila kusahau viatu, hereni na nywele.
“Kama wengine walivyoamua kuwa bize na mahaba, basi wengine tutakufa na fasheni, napenda zaidi kuvaa nguo zilizo kwenye chati. Sikubali kuzikosa,” alisema Lulu.
Imefahamika kuwa chumba anacholala msanii huyo ni kipana kikiwa kimetengenezwa hivyo ili kumpa uhuru wa kuwa na eneo kubwa la kutunza nguo na viatu. Aliwahi kusema kuna viatu na nguo ambazo hajawahi kuzivaa, pia kwake ni nadra kurudia nguo.
KUTAZAMA PICHA na VIDEO YAKE AKIWA UCHI BONYEZA HAPA CHIN>>>>

Usimshangae Lulu ni mambo ya fedha Usimshangae Lulu ni mambo ya fedha Reviewed by habari motto on 3:35 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.