H Baba na Mkewe Flora Mvungi Wapata Mtoto wa Pili,Lijue Jina Lake.....

H Baba na mke wake ambae ni mwigizaji, Flora Mvungi Good Good NEWS..

YES, nimepita kwenye ukurasa wa H Baba Instagram, amepost picha ikiwaonesha wakiwa na mtoto wao mchanga halafu kaandika hivi>>”
Uyu mimtoto wapili mke wangu anajifungua nashuhudia MWANZO wauchungu mpaka kijifungua kwake #Kiukweli heshima kubwa kwa mama Tanzaniteone ulijitahidi sana nakupa #HongeraKwakweli wewe nishujaa nanimfano wakuigwa Kwakweli kunamuda Nilikuwa nashindwa kavumilia natamani nitoke nje ila NASEMA hapana mpaka nishuhudie #mwisho wake!!!! ASANTE SANA “@h_baba123
H Baba ana mapenzi na Afrika yake..mtoto huyu aliezalliwa tayari kapewa jina la Africa.. wa kwanza anaitwa Tanzanite.

H Baba na Mkewe Flora Mvungi Wapata Mtoto wa Pili,Lijue Jina Lake..... H Baba na Mkewe Flora Mvungi Wapata Mtoto wa Pili,Lijue Jina Lake.....
Reviewed by habari motto on 2:59 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.