Baada ya kusubiri kwa muda, hatimaye kesho itakuwa siku ya kukumbukwa kwa Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola.
Matola anafunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, Rehema Karani.
Wengi walitamani kujua sura ya ‘shemejiiii’ ambaye ni mwanadada mrembo kweli.
Huenda kilichobaki ni kumsifia kuwa kweli Matola amchagua hasa mtoto kutoka Mwanza, sijui Lindi. Ahh, ila huyo ndiye shemeji yenu.
Matola Wa Simba Kuweka Historia
Reviewed by habari motto
on
8:14 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
8:14 AM
Rating: