Mchezaji Wa Simba, Jonas Mkude Akubwa Na Matatizo

Mchezaji wa timu ya Simba sport Jonas Mkude  amepata msiba wa kufiwa na baba yake mzazi leo mungu ailaze roho ya baba yake mkunde ikae mahala pema wakati huo huo timu hiyoyaSimba kesho itatupa karaata yake mjini shinyanga kucheza na timu ya kagera  sukari mchzo utakaochezwa uwanja wa kambagarage

Mchezaji Wa Simba, Jonas Mkude Akubwa Na Matatizo Mchezaji Wa Simba, Jonas Mkude Akubwa Na Matatizo Reviewed by habari motto on 11:40 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.