News alert: ajali ya basi la abiria na lori la Fuso Ruaha Mbuyuni leo

Habari zilizotufikia punde zinasema watu kadhaa ambao idadi yao bado haijafahamika wanasemekana wamepoteza maisha baada ya basi la abiria liitwalo Nganga linalofanya safari zake kati ya Iringa na Kilombero kugongana uso kwa  uso na lori aina ya Fuso na kisha magari hayo kuteketea kwa moto  maeneo ya milimani kilomita  kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni kuelekea Morogoro, majira ya saa mbili asubuhi leo. Pichani ni basi hilo la Nganga wakati na bada ya kuteketea kwa moto. Tunaendelea kufuatilia taarifa hizi na tutazileta mara zitapopatikana.

News alert: ajali ya basi la abiria na lori la Fuso Ruaha Mbuyuni leo News alert: ajali ya basi la abiria na lori la Fuso Ruaha Mbuyuni leo
Reviewed by habari motto on 4:34 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.