Taarifa Zilizotufikia Kuhusu shambulio la Garissa

Serikali ya Kenya imedhibitisha kuwa mpaka sasa watu 14 wamekwisha uawa baada ya Alshabab kuteka hostel ya wanafunzi wa kike ktk chuo kikuu cha Carissa Nairobi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka BBC muda mfupi uliopita ni kuwa watekaji hao wanaosadikiwa kuwa kundi la Alshabab wameanza kuwachinja baadhi ya mateka.

Mwanafunzi mmoja wa chuo hicho mwenye asili ya kisomali ameachiwa huru na magaidi hao, na amezungumza na vyombo vya habari na kusema mpaka anaachiwa waliokuwa wameuawawa wanaweza kufika wasichana mia moja (100).!

Taarifa Zilizotufikia Kuhusu shambulio la Garissa Taarifa Zilizotufikia Kuhusu shambulio la Garissa Reviewed by habari motto on 4:15 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.