Uzinduzi Wa Meli Mpya Za Kivita

Rais Jakaya Kikwete (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbali mbali,mara baada ya kuzindua meli mbili mpya za kivita za kikosi cha Majini,zilizopewa majina ya Mv Msonga na Mv Mwitonga,Dar es salaam.kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania(JWTZ) Jenerali Davis Mwamunyange,(wa pili kushoto)ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Dkt Hussein Mwinyi.Kulia ni Kamanda wa Kikosi cha Majini,Rogasian Laswai na Rais wa kampuni ya Polytechonology ya China,Liu Jianmin 
Mwanamaji Meja Mjema, akiwa na viongozi wa Msonga, Mh Diwani Mzimba na Mwenyekiti wa chama cha CCM Bwana Mwedisinga na Mbunge wa Chalinze Mh.Ridhiwani Kikwete,katika uzinduzi wa meli mbili mpya za kivita za kikosi cha Majini,zilizopewa majina ya Mv Msonga na Mv Mwitonga,Dar es salaam.

 Mh Ridhiwani Kikwete akiwa amesimama mbele ya Meli ya Mv.Msonga.
 Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamnyange akiondoka kwenye ukaguzi wa meli hizo mbili mpya za kivita.



Uzinduzi Wa Meli Mpya Za Kivita Uzinduzi Wa Meli Mpya Za Kivita Reviewed by habari motto on 7:38 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.