Habari Mpya toka kenya zinaarifu kuwa,Watu 500 wameokolewa huku 147 wakiuawa wakiwemo wapiganaji wote wa kundi la Al shabaab waliokuwa wamevamia.
Kwa mujibu wa kituo cha Televisheni cha K24 cha nchini Kenya, majeshi ya KDF Yakisaidiana na Polisi yamefanikwa kuwaua magaidi wote na kuchukua udhitibi wa chuo hicho.
Mpekuzi blog
Waliouawa Na Al Shabab katika Shambulizi Chuo Cha Garissa Wafika 147.
Reviewed by habari motto
on
10:05 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
10:05 PM
Rating:

