Yanga Yatoka Sare 1-1 Na Etoile Du Sahel.

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akiruka daluga la Beki wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho uliopigwa leo kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Hadi mwisho wa mchezo matokeo ni 1-1.Picha zote na Othman Michuzi.

Mchezaji wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi Tambwe wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho uliopigwa leo kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. hadi mwisho wa mchezo matokeo ni 1-1.

Wachezajiwa Timu ya Yanga, wakishangilia ushindi sambamba na mashabiki wao.

Kiungo wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Franck Kom aruka juu kuwania mpira wa kichwa wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho uliopigwa leo kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam.

Yanga Yatoka Sare 1-1 Na Etoile Du Sahel. Yanga Yatoka Sare 1-1 Na Etoile Du Sahel.
Reviewed by habari motto on 6:43 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.