TIMU YA TAIFA YA ALGERIA IMEPOKELEWA KWA SHAMRA SHAMRA KIBAO. CHA KUJIULIZA NI JE VIPI INGECHUKUA KOMBE LA DUNIA TIMU HII INGEPOKELEWAJE NYUMBANI KWAO HUKO ALGERS?
Kwenye kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye mashindano haya baada ya kuwa moja ya timu mbili za Africa zilizogusa kwenye hatua nzuri kabla ya kutolewa.
Tayari timu hii imerejea nyumbani Afrika ambapo kiukweli imepokelewa kwa shangwe sana, na naamini hata wengine wasio Waalgeria wangeipokea timu kama hii kutokana na ilichofanya.
AlGERIA WAPOKELEWA KWA SHAMRA SHAMRA NYUMBANI
Reviewed by habari motto
on
11:33 AM
Rating: