BARABARA YA JUU YAPOROMOKA NA KUANGUMIZA

Mtu mmoja  amethibitishwa kufariki Dunia na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya baada ya moja ya Barabara iliyokuwa kwenye matengenezo kukatika katika mji wa Belo Horezonte karibu na eneo lenye shughuli nyingi la Lagoa da Pampulha,nchini Brazil.
BARABARA YA JUU YAPOROMOKA NA KUANGUMIZA BARABARA YA JUU YAPOROMOKA NA KUANGUMIZA Reviewed by habari motto on 12:55 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.