Kwa hali isiyo ya kawaida Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta amewasili leo asubuhi kwa ndege ya Kenya Airways kama abiria wa kawaida hili limenukuliwa na wengi kwamba sio kitu cha kawaida kwa rais yeyote duniani anaweza kupanda ndege ya abilia kama alivyofanya rais huyo wa Kenya. Pia rais huyo alitumia ndege ya shirika hilo wakati anakwenda kwenye kesi yake. Rais Kenyatta alikwenda Uholanzi kusikiliza mashtaka yanayomkabili.
Raisi UHURU KENYATTA Atua Kutoka THE HAGUE
Reviewed by habari motto
on
2:05 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
2:05 PM
Rating:
