Diamond Kuiwakilisha Tanzania, #WeAreTheWorldAfrica.

ST YA DIAMOND KUHUSU KUIMBA KWENYE WE ARE THE WORLD AFRICA

diamond new
Diamond alikuwa South Africa hivi karibuni kwenye jumba la Big Brother na kwenye Tuzo za Channel O za Video za 2014. Kabla ya tuzo hizo Diamond aliweka post ikiwa na ujumbe kuwa anawakilisha Tanzania kwenye wimbo wa Africa All Star wa #WeAreTheWorldAfrica.
diamond project
diamond project 2
Diamond Kuiwakilisha Tanzania, #WeAreTheWorldAfrica. Diamond Kuiwakilisha Tanzania, #WeAreTheWorldAfrica. Reviewed by habari motto on 9:09 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.