Mwenyeketi Mtendeji wa
Kampuni ya IPP Mh Regnald Mengi mwezi huu wa saba amelipamba cover la
jarida la Forbes Africa lenye maneno yenye kuonyesha namna alivyo
pigania kutoka kutembea peku hadi kuwa na utajiri unao zidi dola za kimarekani $550 Million.Gazeti lenyewe picha juu ni hii hapa chini
MENGI KULIPAMBA JARIDA FORBES
Reviewed by
habari motto
on
10:26 PM
Rating:
5