NIGERIA 1-0 BOSNIA

Mshambuliaji wa Nigeria  Peter Odemwingie (kushoto) akifunga bao lake, huku kipa  Asmir Begovic akiwa hana la kufanya.
BAO pekee la mshambuliaji wa Stoke City, Peter  Odemwingie katika mchezo wa kombe la dunia  limeipa ushindi muhimu timu ya taifa ya Nigeria dhidi ya Bosnia.
Kwa matokeo hayo, Bosnia wameshaaga mashindano yao ya mara ya kwanza ya kombe la dunia
Bosnia walipoteza mechi ya ufunguzi kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Argentina 
Odemwingie akipongezwa na wachezaji wenzake.
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vyao. Alama zilizotolewa ni chini ya 10.

Kikosi cha Nigeria: Enyeama 7, Oshaniwa 6, Yobo 6, Omeruo 6, Ambrose 6, Onazi 7, Mikel 6,  Babatunde 6 (Uzoenyi 75), Musa 7 (Ambeobi 66 5) Odemwingie 8, Emenike 7
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Ejide, Uzoenyi, Gabriel, Egwuekwe, Moses, Odunlami, Azeez, Nwofor, Uchebo, Agbim.
Kadi ya njano: Mikel
Mfungaji wa goli: Odemwingie
Kikosi cha Bosnia-Herzegovina: Begovic 7, Mundza 6, Sunjic 6, Spahic 5, Lulic 6 (Salihovic 58 6), Besic 7, Misimovic 6, Medunjanin 6 (Susic 64 5), Hajrovic 6 (Ibisevic 57 6), Pjanic 8, Dzeko 6 
Subs not used: Fejzic, Vrsajevic, Bicakcic, Kolasinac, Vranjes, Ibricic, Visca, Hadzic, Avdukic.
Kadi ya njano: Medunjanin
Mwamuzi: Peter O’Leary (New Zealand)
*Viwango vya wachezaji na Joe Bernstein

NIGERIA 1-0 BOSNIA NIGERIA 1-0 BOSNIA Reviewed by habari motto on 8:25 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.