ALICHOKISEMA MASERATI BAADA YA KUONGEZA MKATABA MREFU, BARCELONA

MASCHERANO AJIFUNGA NA BARCELONA HADI MWAKA 2018

Beki kisiki Javier Mascherano ameongeza mkataba wake wa kuichezea Barcelona.Mascherano raia wa Argentina, sasa ataichezea Barcelona hadi mwaka 2018 na amesema ni furaha kubwa kwake.
Mkataba huo umesainiwa leo na kila upande umeonyesha kuwa na furaha kuhusiana na mkataba huo mpya.
ALICHOKISEMA MASERATI BAADA YA KUONGEZA MKATABA MREFU, BARCELONA ALICHOKISEMA MASERATI BAADA YA KUONGEZA MKATABA MREFU, BARCELONA Reviewed by habari motto on 3:56 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.