MSANII MWINGINE WA TANZANIA AWANIA TUZO HIZI, PIGA KURA YAKO HAPA

10330332_764794563561106_6489465642916587834_n

Msanii bora wa muziki wa Reggae na Ragga Tanzania, DABO amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za muziki za International Reggae and World Music.
DABO anawania tuzo hizi katika kipengele cha Mtumbuizaji Mpya Bora, akikabiliwa na ushindani kutoka kwa wasanii MC Norman kutoka Uganda, Alkaline na Kranium kutoka Jamaica, Shatta Wale wa Ghana na mjukuu wa Bob Marley ambae ni Daniel Bambatta Marley.
Zoezi la kuwapigia kura wasanii hawa kuwawezesha kushinda linaendelea sasa mtandaoni.
Link ya kumpigia kura ni: http://www.irawma.com/irawma_vote2014
MSANII MWINGINE WA TANZANIA AWANIA TUZO HIZI, PIGA KURA YAKO HAPA MSANII MWINGINE WA TANZANIA AWANIA TUZO HIZI, PIGA KURA YAKO HAPA Reviewed by habari motto on 4:02 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.