KAMA ULIMISI FIESTA DODOMA. CHEKI HAPA PICHA NA MATUKIO YOTE

Tazama Kili Music Tour Ilivyoiteka Dodoma


Mwishoni mwa wiki ilikuwa zamu ya wakazi wa makao makuu ya nchi kuishuhudia ziara ya

wasanii waliofanya vizuri nchini kwa kipindi cha mwaka 2013/2014 maarufu kama Kilimanjaro

Music Tour. Ziara hiyo iliwakutanisha wasanii takribani 10 ambao walitoa burudani kwa maelfu

ya wakazi wa Dodoma waliofurika katika uwanja wa Jamhuri kushuhudia tamasha hilo ambalo

lilikuwa likisubiriwa kwa hamu.

Hizi ni baadhi ya picha za kilichojiri uwanja wa Jamhuri.
 Malkia wa mipasho nchini Khadija Kopa aliifungua Kili Music Tour mkoani Dodoma
 Izzo Bizness na Joh Makini katika backstage
 Mwasiti akiendeleza burudani kwa wakazi wa Dodoma ikiwa ni pamoja na kuimba na mmoja ya mashabiki


 Rich Mavoko na madansa wake wakilishambulia jukwaa la Kili Music Tour Dodoma
 MwanaFA na Anna Peter wakiwa backstage
 Christian Bella “Rais wa Masauti” akiwaimbisha mashabiki uwanja wa Jamhuri

 Shilole akiwadhihirishia mashabiki kwa nini anaitwa mtaalam wa jukwaa

 Umati wa mashabiki ukiendelea kufuatilia tamasha
 Izzo Bizness alikuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kupanda jukwaani uwanja wa Jamhuri
 Hamis Mwinjuma “MwanaFA” akiendeleza burudani ya Hip Hop katika Kili Music Tour Dodoma.

 Wadau wakifurahia kilichokuwa kikiendelea jukwaani
 Ben Pol akiwaburudisha mashabiki wa mkoa ambao alianzia shughuli za muziki
 Shangwe kwa Ben Pol
 Weusi wakiikamilisha Kili Music Tour Dodoma kwa show kali

KAMA ULIMISI FIESTA DODOMA. CHEKI HAPA PICHA NA MATUKIO YOTE KAMA ULIMISI FIESTA DODOMA. CHEKI HAPA PICHA NA MATUKIO YOTE Reviewed by habari motto on 3:26 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.