PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA: FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT)



 Wadau wa TMT wakiwa kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Mlimani City katika FAinali ya Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji lijulikanalo Kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo muda mfupi ujao Mshindi wa Shilingi Milioni 50 za Kitanzania Atapatikana

 Ceaser Daniel akiwa na Jaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike

 Kikundi Cha TMT Survivor kikitoa Burudani

 Kumi Bora ya washiriki Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mkuru

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Bw Johnson Lukaza akiwa na Mkewe Marian Johnson katika Dhuria Jekundu usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City Ambapo Fainali ya Shindano la TMT lilipofanyika na Mshindi Kupatikana.

 Aliyekuwa Mshiriki wa TMT na kufanikiwa kuingia hatua ya ishirini Bora na hatimaye kutolewa kwa Uchache wa Kura,
Shiraz Ngasa akiwa katika picha ya Pamoja na Jaji Vyonne Cherrie au Monalisa katika Dhuria Jekundu
Majaji Wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Wakijadiliana jambo kabla ya Mtanange Wa TMT uliokuwa ukirushwa live kupitia Kituo Cha ITV kuanza


Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa 
wadau 
waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 
lililokuwa 
pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV

Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa 
Mshindi wa 
Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa
 Shindano 
la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo 
katika
 Ukumbi wa Mlimani City na Kuhudhuriwa na Mamia ya Watanzania.

Mwanaafa Mwinzago (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na 
wazazi wake
 na timu ya wafanyakazi wa TMT na washiriki wenzie mara baada ya
 kukabidhiwa mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 50 za Kitanzania 
Mara baada
 ya Kuwabwaga Washiriki wenzie tisa na Kuibuka Mshindi wa Kitita 
Cha Milioni 
50 za Kitanzania katika Fainali ya Kusaka Vipaji Vya Kuigiza Nchini 
lijulikanalo 
kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo limefikia Ukingoni Jana Katika 
Ukumbi wa Mlimani City.

Washiriki wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 waliofanikiwa 
kuingia Kumi 
Bora wakiwa wanasubiri mshindi atangazwe 

Host Wa TMT 2014 Joti akimpongeza Baba wa Mwanaafa Mwizago kwa
 Mwanae
kuibuka Mshindi wa Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) na kuibuka na
 kitita cha
 Shilingi Milioni 50 za Kitanzania

Mwanaafa Akiwa amembeba Mdogo wake mara baada ya
 kutangazwa
 Mshindi wa Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 na kuibuka 
na kitita cha Shilingi milioni 50.

Lulu akionyesha Bahasha iliyokuwa na JIna la Mshindi wa Tanzania Movie
Talents
 (TMT) ambae ni Mwanaafa Mwinzago na Kumfanya kujishindia Shilingi 
Milioni 50 za Kitanzania


Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar waliojitokeza kushuhudia fainali ya TMT
 ambayo ilikua ikirushwa live kupitia ITV.



Malaika Band wakitoa Burudani wakati wa fainali ya TMT 2014 katika
 Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia leo.

Christian Bella Akitoa burudani kwa kuimba wimbo wa Nani kama Mama 
ambao 
uliamsha Shamra Shamra katika Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa 
Kuamkia leo na Mwanaafa Mwinzago Kuibuka Mshindi.

Majaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 

Joti akitoa Suprize ya ukweli haswa katika fainali ya Tanzania Movie Talents
 (TMT) katika ukumbi wa Mlimani City usiku wa Kuamkia Leo




 Mkurugenzi wa Kampuni ya Proin Promotions, Geofrey Lukaza akiwa na 
Mkewe katikaRed Carpet Kabla ya Show Kuanza katika Ukumbi wa Mlimani City usiku wa Kuamkia leo








 Mc Pilipili Akifanya Yake

 Wadau wa Kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika Picha 
ya Pamoja 
mara baada ya MShindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) kupatikana na 
kila Mmoja kusherehekea Ushindi huo


PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA: FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT)  PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA:  FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) Reviewed by habari motto on 11:54 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.