HILI NDIO NGUO ALIYOVAA LULU NA KUWAPAGAWISHA WANAUME WENGI.


Vazi  alilokuwa  amevaa Lulu  Michael  katika  fainali  za  Shindano  la  TMT  lilizua  balaa  kubwa  kwa  wanaume  wapenda  sketi  baada  ya  vazi  hilo  kuanika  hadharani  maungo  nyeti  ya  msanii  huyo.
Katika  shindano  hilo, Binti  mdogo  toka  Mtwara, Mwanaafa Mwinzago, aliibuka  kidedea  na  kujinyakulia  milioni  50
HILI NDIO NGUO ALIYOVAA LULU NA KUWAPAGAWISHA WANAUME WENGI. HILI NDIO NGUO ALIYOVAA LULU NA KUWAPAGAWISHA WANAUME WENGI. Reviewed by habari motto on 11:55 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.