AJALI MBAYA YAOKEA MWANZA, YAUA WATU 7

Hali ya simanzi ilitawala Ijumaa jioni maeneo ya MABUKI- MWANZA, Baada ya costa ya MAKULA iliyokuwa ikitokea Mwanza kwenda Kahama. Ilipofika maeneo hayo ilipinduka mara tatu baada ya taili za gari kuteleza kutokana na mvua iliyokuwa inanyesha.

mmoja ya marehem akiwa amefunikwa. #@ picha zote na JOSE mwandishi wa blog hii
AJALI MBAYA YAOKEA MWANZA, YAUA WATU 7 AJALI MBAYA YAOKEA MWANZA, YAUA WATU 7 Reviewed by habari motto on 11:39 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.