HATIMAYE MR. FLAVOUR KUTEGEMEA ZAWADI KUBWA KUTOKA KWA MREMBO HUYU

 


Nilisikia juu juu tu ila sikutaka kuiweka hapa kabla sijapata ukweli halisi, na hatimaye nimepata taarifa sahihi kutoka chanzo sahihi kwamba msanii wa Nigeria Mr Flavor anategemea Kuitwa  baba kwa kupata mtoto na model Sandra Okagbue 


Sandra, ambaye mwanzoni aliyehusishwa  na Mikel Obi, aliondoka Nigeria kwenda U S  na anategemea kujifungua ndani ya mwezi huu

HATIMAYE MR. FLAVOUR KUTEGEMEA ZAWADI KUBWA KUTOKA KWA MREMBO HUYU HATIMAYE MR. FLAVOUR KUTEGEMEA ZAWADI KUBWA KUTOKA KWA MREMBO HUYU Reviewed by habari motto on 9:20 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.