AJALI NYINGINE YATOKEA TENA,2 WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE 65 WAJERUHIWA


Basi la Ruksa aina ya Scania lenye namba za usajili T 273 ACX llililokuwa iliktokea mkoani Kigoma kwenda wilayani Kahama mkoani Shinyang'a likiwa limepata ajali katika kijiji cha Kanyonza wilayani Kakonko,mkoani Kigoma ambapo watu Wawili walipoteza maisha papo hapo na wengine 65 kujeruhiwa katika Ajali hiyo ya Septemba 08,2014,majira ya saa Sita mchana
Taswira ya Basi hilo la Ruksa likiwa eneo la Ajali ambapo mashuhuda wanasema chanzo cha ajali kilisababishwa na mwendo kasi.
Pichani ni Baadhi ya Majeruhi wa ajali hiyo wakiwa wodini katika hospitali ya wilaya ya Kakonko kwa ajili ya matibabu.
AJALI NYINGINE YATOKEA TENA,2 WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE 65 WAJERUHIWA AJALI NYINGINE YATOKEA TENA,2 WAPOTEZA MAISHA  NA WENGINE 65 WAJERUHIWA Reviewed by habari motto on 7:37 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.