Al_Qaeda yafungua tawi jipya

Kiongozi wa kundi la kigaidi la Al-Qaeda, Ayman al-Zawahiri amesema kuwa wamefungua tawi jipya la mtandao huo wa kigaidi nchini India ikiwa ni jitihada za kuhakikisha wanapandisha bendera za Jihad kusini mwa bara la Asia.
Taarifa zinasema kuwa picha za video za tangazo hilo zinasema kuwa hiyo ni hatua ya kuimarisha dola ya Kiislam ambao kwa sasa unashikilia eneo kubwa la Iraq na Syria.
Zawahiri amesema kuwa nguvu mpya ya mtandao inalenga kuvunja mipaka ya nchi na kuunganisha ukanda wa dola ya Kiislam kwa kuendesha mapigano kutoka India hadi Burma.
Hata hivyo kiongozi wa Taliban Mullah Omar anatazamwa na wachambuzi wa mambo anayeonekana kama mtu asiyeunga mkono ustawi wa dola hiyo ya kiislam inajiita kuwa ipo kwaniaba ya waislam wote
Chanzo BBC
Al_Qaeda yafungua tawi jipya Al_Qaeda yafungua tawi jipya Reviewed by habari motto on 8:24 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.