GARI LA JWTZ LAPARAMIA NYUMBA NA KUUWA


Picha ya gari likiwa limeivaa nyumba na kusababisha vifo.

Ajali nyingine yatokea Mtwara na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja baada ya gari kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivaa nyumba iliyokuwa pembezoni.
GARI LA JWTZ LAPARAMIA NYUMBA NA KUUWA GARI LA JWTZ LAPARAMIA NYUMBA NA KUUWA Reviewed by habari motto on 6:18 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.