HUYU NDIYE MREMBO WA MSANII PREZZO

Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na msichana asiye na umaarufu wowote.

Rapper huyo kutoka Kenya ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram na kuandika: “My 1st & only #WCW #Rapcellency #TrulyUnruly.”
HUYU NDIYE MREMBO WA MSANII PREZZO HUYU NDIYE MREMBO WA MSANII PREZZO Reviewed by habari motto on 8:07 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.