ITS DIAMOND AGAIN,SASA KUFANYA SHOW SOUTH AFRICA KWENYE TUKIO MUHIMU

Diamond Platnumz ametajwa kuwa kwenye orodha ya wasanii watakao fanya show kwenye uzinduzi wa msimu mpya wa shindano la Big Brother Africa 2014.Uzinduzi huu unafanyika September 7 2014 huko Afrika Kusini.
Fahamu baada ya show yake South Africa Diamond atarekodi kwenye Coke studio Kenya na baadae kwenda Uingereza kwaajili ya Show ya Africa Unplugged
MESOTHELIOMA LAW FIRM
ITS DIAMOND AGAIN,SASA KUFANYA SHOW SOUTH AFRICA KWENYE TUKIO MUHIMU ITS DIAMOND AGAIN,SASA KUFANYA SHOW SOUTH AFRICA KWENYE TUKIO MUHIMU Reviewed by habari motto on 8:16 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.