KAJALA NOMAA. ANGALIA UZINDUZI WA FILAMU YAKE MPYA ULIVYOFANA

Jana Msanii wa Filam za Kibongo Star Kajala Masanja amezindua Filamu yake Mpya aliyoipa jina la Mbwa Mwitu. Filamu hiyo ilizinduliwa Jijini Dar es salaam Katika Ukumbi wa Mliman City. Kajala ameweza kutoa Shukrani zake za Dhati kwa watu wato walioweza kufanikisha Filamu hiyo hadi kukamilika na pia hawakuwasahau wale waliojitokeza hapo jana Kumpa sapoti katika Uzinduzi wa Filam yake Hiyo mpya
Kajala Amesema haya::
"Kwanza kabisa napenda kumshukuru mungu muumba kwa kunipa nguvu na afya njema pili wazazi wangu tatu mtoto wangu na Mdogo wangu nne team nzima ya kajala entertainment maana bila wao nisingeweza kufanikisha kila kitu tano nawashukuru wasanii wenzangu wameonyesha moyo Wa ajabu sana kwa kuwa na mm kwenye kila jumbo to mwisho nawashukuru media zote kwa kuwepo kwenye uzinduzi wetu Wa mbwa mwitu na anzaje sasa kuwasahau mashabiki zangu nawaomba muendelee kunipa moyo kila siku ili nizidi kufanya kazi nzuri kila siku asanteni sana nawapenda wote"

Nahizi ni Baadhi ya Picha za Uzinduzi Huo::
 KAJALA MASANJA AKIWA NA FAMILIA YAKE

 KAJALA NA DYNA NYANGE
 KAJALA NA JENNIFER KYAKA
 DYNA NYANGE, KAJALA MASANJA NA KEYSHA
 KAJALA MASANJA
KAJALA MASANJA NA BABY WAKE WA FRESH120MEDIA
KAJALA NOMAA. ANGALIA UZINDUZI WA FILAMU YAKE MPYA ULIVYOFANA KAJALA NOMAA. ANGALIA UZINDUZI WA FILAMU YAKE MPYA ULIVYOFANA Reviewed by habari motto on 2:44 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.