NA HUU NI UKWELI KUHUSU TUNDA MAN KUSIMAMISHWA KUNDI LA TIP TOP CONNECTION

Manager wa Tiptop Bab Tale amesema msanii Tunda Man hajasimamishwa kazi Tiptop na sio kawaida kwa Tiptop kusimamisha wasanii wake ila kila msanii ana mfumo wake wa kurekodi na kutoa kazi mpya. Tetesi za Tunda Man kusimamishwa kazi zilisambaa hivi karibuni zikichangiwa na ukimya wa Tunda Man baada ya kutoa video ya Msambinungwa February mwaka 2014.
NA HUU NI UKWELI KUHUSU TUNDA MAN KUSIMAMISHWA KUNDI LA TIP TOP CONNECTION NA HUU NI UKWELI KUHUSU TUNDA MAN KUSIMAMISHWA KUNDI LA TIP TOP CONNECTION Reviewed by habari motto on 2:41 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.