Mabinti wa Marais wa Afrika ambao wanatikisa sana


Diana Karuguire Museven

Hizi ni baadhi ya picha za mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti
AngePaul Kagame


Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye binti mrembo kuliko wengine.


Faith Sakwe Jonathan


Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na mitandao kwamba ni mrembo.


Nyepudzayi Bona Mugabe
Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni


Sifa Joseph Kabila

Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.


Ngina Uhuru Kenyatta


Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta. Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto, pia anaongoza kwa kuwa na marafiki wengi wa kike.

Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.
 

Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta Museven. Amefunga ndoa. Mitandao inamtaja ni binti aliyetulia ndiyo maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa. 
Mabinti wa Marais wa Afrika ambao wanatikisa sana Mabinti wa Marais wa Afrika ambao wanatikisa sana Reviewed by habari motto on 5:00 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.