MASKINI WEMA SEPETU APATWA NA MAJONZI



Mbwa wa staa wa filamu Bongo, Wema Abraham Sepetu aliyepotea.
Beautiful Onyinye, Wema Abraham Sepetu ametoa kioja cha aina yake kwa kuangua kilio baada ya kuambiwa kuwa mbwa wake aliyepotea amepatikana na alipokwenda kumfuata akaambulia patupu.
 Tukio hilo lililowaacha watu midomo wazi lilitokea juzikati maeneo ya kishua, Masaki jijini Dar, ambapo staa huyo alionekana kukatishwa tamaa kwani alipokuwa anatoka nyumbani aliamini kabisa anakwenda kukabidhiwa mbwa wake aitwaye Vani aliyepotea miezi michache iliyopita. 

Nilipoambiwa amepatikana kwanza nilijenga picha kwamba hatimaye furaha yangu imerejea, nilianza kuvuta picha ya kipindi cha nyuma alipokuwepo nyumbani lakini nilipokwenda nikakuta ndivyo sivyo,” alisema Wema na kuongeza:
MASKINI WEMA SEPETU APATWA NA MAJONZI MASKINI WEMA SEPETU APATWA NA MAJONZI Reviewed by habari motto on 11:53 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.