Mh.Sugu na mkewe watengana...Alia na kuandika ujumbe mzito

Mh. Sugu, Faiza Ally na mtoto wao Sasha
Muigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ! well....kupiia Instagram Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema. Faiza aliandika........

Mh.Sugu na mkewe watengana...Alia na kuandika ujumbe mzito Mh.Sugu na mkewe watengana...Alia na kuandika ujumbe mzito Reviewed by habari motto on 4:17 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.