Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Sokoinee jijini Mbeya...Shuhudia picha zote na matukio Muhimu

 Baadhi ya mashabiki wa mziki wakiwa kwenye foleni ya kuingia ndani ya uwanja wa Sokoine kusheherekea tamasha la Serengeti Fiesta.
 Baadhi ya wasanii wachanga jijini Mbeya wakionesha vipaji vyao kabla ya wasanii wakubwa hawajaanza kupanda jukwaani.
 Mashabiki wa Mziki Mbeya wakiwa wamefurika ndani ya Uwanja wa Sokoine Mbeya kushuhudia Serengeti Fiesta usiku huu.
Sehemu ya Uwanja wa Sokoine eneo la kuchezea(pitch) ambayo baadhi ya mashabiki wa Mpira walitaka kugomea wakihofia kuharibika ikionekana katika ubora wake kutokana na kuwekewa ulinzi Mkali.
Na Mbeya yetu
Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Sokoinee jijini Mbeya...Shuhudia picha zote na matukio Muhimu Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Sokoinee jijini Mbeya...Shuhudia picha zote na matukio Muhimu Reviewed by habari motto on 4:13 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.