NAVY KENZO YAVUNJIKA

Mmoja kati ya wasanii Aliyekuwa akiunda kundi la NAVY KENZO ameamumu akujitoa RASMI kwenye kundi hilo na kuamuakufanya kazi mwenyewe solo akiijiita Wiista 

Nyimbo yake ya kwanza ni NAIYE na itatambulishwa  rasmi ijumaa hii kwenye kila vituo vya habari vikubwa 
NAVY KENZO YAVUNJIKA NAVY KENZO YAVUNJIKA Reviewed by habari motto on 10:13 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.