Waandishi wa habari wakiwa nje ya ofisi ya mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Shinyanga Dkt Fredrick Mlekwa ,ili kujua undani wa tukio hilo,ingawa hata hivyo baada ya kumsubiri muda wa takribani nusu saa akizungumza na nesi huyo ofisini kwake,nesi huyo alitoroshwa na baada ya kuingia ofisini,aliwaambia waandishi wa habari kuwa yeye siyo msemaji,msemaji ni mganga mkuu wa mkoa wa Shinyanga,Dkt Ntuli Kapologwe na kwamba taarifa kamili itatolewa kesho asubuhi kwani bado wanafuatilia undani wa tukio hilo |