Ray akanusha kutoka na Johari

Ray amekana kutoka kimapenzi na msanii Blandina Chagula na kuwa mtaani kuna habari nyingi sana na nyingi hazina ukweli lakini kwa kuwa sisi ni kioo cha jamii hivyo jamii inakuwa inatuzungumzia kwa mambo mengi sana lakini ukweli ni kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Johari na wala sijawahi kuweka wazi juu ya maisha yangu ya mapenzi bali baadhi ya vyombo vya habari vimekuwa vikizusha na kudanganya umma lakini Johari ni Mkurugenzi mwenzangu katika kampuni yetu na si mpenzi wangu wala si mchumba wangu
Ray akanusha kutoka na Johari Ray akanusha kutoka na Johari Reviewed by habari motto on 4:20 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.