Rais wa Marekani Barack Obama ameondoka Washington kwa ziara ya ziku nne huko ulaya iliyolenga kuwahakikishia washirika wa NATO uungaji mkono wa Marekani, huku mivutano ya kieneo juu ya jukumu la Russia huko Ukraine ikiendelea kuongezeka.MESOTHELIOMA LAW FIRM
Bwana Obama atafanya mazungumzo ya siku nzima hapo jumatano katika mji mkuu wa Estonia na marais wa Estonia, Latvia na Lithuania.
Mikutano huko Tallinn, kilomita 200 kutoka mpaka wa Russia inafanyika ikiwa ni majibu kwa ongezeko la wasiwasi kuhusu kuhusika kwa jeshi la Russia huko Ukraine na uwezekano wa vitisho vya Russia kwa mataifa ya Baltic. Rais ameelezea mazungumzo ya Baltic yanamaanisha kuonesha mataifa hayo Jamhuri tatu za zamani za Kisovieti kwamba tunamaanisha kile tunachosema kwa kuheshimu majukumu yetu katika mkataba.
CHANZO VOA
MESOTHELIOMA LAW FIRM
DONATE CAR TO CHARITY CALIFORNIA
DONATE CAR FOR TAX CREDIT
Obama aelekea ulaya kushauriana na washirika wa NATO
Reviewed by habari motto
on
8:58 AM
Rating: