STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI

 ALIYEKUWA mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Mengere,’’Steve Nyerere hivi karibuni alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari hivi karibuni maeneo ya Kinondoni. Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni,lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande  
Akizungumza jijini Dar alisema kuwa alivamia gari kwa nyuma maeneo ya Morroco, Kinindoni, lakini hakuumia ila gari lake liliharika upande wa mbele.
STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI STEVE NYERERE ANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI Reviewed by habari motto on 11:16 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.