WEMA AJITENGA NA MGOGORO BONGO MOVIE


Staa asiyekauka kwenye vyombo vya habari Bongo, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’

STAA ASIYEKAUKA KWENYE VYOMBO VYA HABARI BONGO, WEMA SEPETU ‘BEAUTIFUL ONYINYE’ AMESEMA KUWA, HAWEZI KUJISHUGHULISHA KAMWE NA MGOGORO ULILIPO KWENYE KLABU YA BONGO MOVIE UNITY UNAOMTAKA MWENYEKITI WAO, STEVE MENGERE ‘STEVE NYERERE’ AJIUZULU

Wema alifunguka alipokuwa akijibu swali lililomtaka aeleze mtazamo wake juu ya mgogoro huo ambapo alisema anatambua kwamba hali si shwari klabuni hapo huku baadhi ya wasanii wakidai mwenyekiti wao anachakachua fedha za chama lakini kwa upande wake hataki kujiingiza na ishu na hiyo.
WEMA AJITENGA NA MGOGORO BONGO MOVIE WEMA AJITENGA NA MGOGORO BONGO MOVIE Reviewed by habari motto on 6:13 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.