Ajali mbaya imetokea mchana huu barabara ya Moshi-Arusha eneo la Sekei kituo cha polisi, iliyohusisha magari mawili madogo, Rav 4 lenye namaba za Usajili T 334 AGK na Suzuki Escudo lenye Namba Za Usajili T 991 ASX
Mashuhuda wa Ajali hiyo wameongea na mwandishi wetu na kusema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa Rav 4 alitoka upande wake kutaka kulipita gari mbele yake, ndipo garihilo lilipomshinda na kukwaruza Gari lingine Aina ya Escudo
Watu 3 waliokuwa kwenye RAV 4 wamejeruhiwa vibaya na wote walikimbia na kulitelekeza gari Hilo Kwenye Eneo La tukio
Majeruhi Wote ni waosha magari katika Car wash iliyopo Eneo Jirani na Ajali ilipotokea
Devera Wa gari lililokwaruzwa yuko katika hali nzuri
Ajali Mbaya Yatokea Arusha Leo
Reviewed by habari motto
on
3:51 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
3:51 PM
Rating:





