PICHA! AJALI NYINGINE YA BASI ENEO LA MWANGA, MOSHI

MWANGA

Habari zilizotufikia kutoka Mwanga Mkoani Kilimanjaro zinasema kuna ajali mbaya imetokea maeneo ya Mwanga wakati basi la kampuni ya Mbazi Travellers lililokua likitokea Arusha kuelekea Dar es salaam kupinduka.
Ajali II
Taarifa kutoka kwa ripota wangu wa nguvu zinasema ajali hiyo ilitokea baada ya basi hilo kujaribu kulipita basi jingine huku kukiwa hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini inasemekana kuna idadi kubwa ya majeruhi ambao walikimbizwa katika hospitali ya KCMC Moshi.
PICHA! AJALI NYINGINE YA BASI ENEO LA MWANGA, MOSHI PICHA! AJALI NYINGINE YA BASI ENEO LA MWANGA, MOSHI Reviewed by habari motto on 10:36 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.